Jumamosi, 28 Septemba 2013

MISS PHILIPPINE ATWAA TAJI LA MISS WORLD 2013

Wakati akiveshwa taji la Miss Philippines


MTAZAME KATIKA MUONEKANO TOFAUTI
HISTORIA YAKE KWA UFUPI
Jina lake kamili anaitwa Megan Lynne Young ni chotara wa kimarekani na Philippine, ni muigizaji na pia ni mtangazaji wa kipindi cha Television na ni mjumbe wa ABS-CBN Star Magic.
Amezaliwa February 1990 huko Alexandria, Virginia, United States, na urefu 1.73 M.
Elimu yake kwasasa anaipata kwenye chuo cha De La Salle-College Of Saint Benilde ambako anasomea utengenezaji wa Filamu.
Miss Ghana Nae Katisha Afrika oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni