Alhamisi, 12 Septemba 2013

ASHANTI UNITED KAMA YANGA VILEEEEEEEEE

Wauza mitumba wa Ilala Un Colonized never say die titi munda Mtwale wa kuchwela wanakinyamantula Ashanti United watoto wa jiji Wanakabakayeka, wamezindua website yao mpya kwaajili ya kuweka bayana mambo yao kwa mashabiki na wapenzi wa soka.

Ashanti inakuwa timu ya nne inayoshiriki ligi kuu soka ya Tanzania bara kuwa na mtandao wao ulio hai.
Timu zingine ni Mabingwa wa ligi kuu na ngao ya jamii Yanga Afrika, makamo bingwa watoto wa Bakhressa Azama fc pamoja na wagosi wa kaya Coastal Union ya Tanga.
Ashanti sasa rasmi kuwapata kwenye www.ashantiutd.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni