![]() |
Kim Paulsen |
Mbali na ligi kuwa inaendelea pia Stars amewataka wachezaji wake wawe na muda mwingi kwenye vikosi vyao kabla ya kuwaita wachezaji hao kuunda timu ya Kilimanjaro stars itakayoingia kambini kujiandaa na michuano ya Challenge
Stars kwasasa imevunja Kambi baada ya kushindwa kuvuka vikwazo vya kutinga fainali za kombe la dunia mwakani nchini Brazil.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni