Jumatatu, 2 Septemba 2013

Jiliwaze

Taarab Asilia ni nyumba ya burudani
Fadhila za mnyote Millionea wa hisani

Anaitwa Saada Nassor muimbaji kutoka Zanzibar one modern Taarab visiwani ZNZ, umaarufu wake unatokana na sauti yake pamoja na uchezaji wake......

Kwa wanaomfahamu anaitwa MAMAAA YA MINENGUOOOOO

Wimbo: Fadhila za Mnyonge
Muimbaji: Saada Nassor mamaa ya minenguo
Moja ya Shairi>>>>>>>>>>>>>>
Kukutendea hisani sikuwa na nia mbaya
Bali ni yangu imani ooooh mwenzangu kusaidia
Wala katu sidhani kwako nina tarajia
Nafahamu huna cha kunifanyia
Usiniweke rohoni na kunipaka ubaya
Kashfa wanifitini mie mshirikina haya
Wema wangu fadhila zangu kwako Mola ndiye anajowa.
malipo yangu yapo kwa Mungu mmiliki wa himaya
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Uvumilvu ni sawa kwani Mola anao
Nastahamili sikujibu yote hayo atayarudi Rabanna

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni