Jumatano, 18 Septemba 2013

TAARIFA YA MKUTANO WA HADHARA ZANZIBAR

Chama Cha Wananchi -  CUF kinawatangazia wananchi wote, kuwa kitafadha mkutano wa hadhara wa aina  yake, siku ya Jumapili ya tarehe 22/09/2013

Mkutano huo utaanza saa 8:00 mchana katika Viwanja vya Demokrasia ( KIBANDA MAITI) .

Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad.

Shime Wananchi wote kuhudhuria katika Mkutano huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni