![]() |
Sanga, Katabaro kulia nae ndani |
Awali ujio wa Naggi ulihusishwa kuwa amekuja kuchukuwa mikoba ya Lawrence Mwalusako anaekaimu nafasi ya ukatibu klabuni hapo huku ikizua mtafaruku mkubwa.
![]() |
Sanga akitema cheche |
Baraza la wazee la Yanga lilikuwa la kwanza kupinga ujio wa Naggi wakisema kuwa hawamtambui na wala hawatambui nafasi yake.
![]() |
Wazee wote kimyaaaaaaaaaaa |
Makamo mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga leo alimwaga mchele kwenye kuku wengi akisema kuwa ujio wa Naggi pamoja na viongozi wengine wawili kwenye secretariety unalenga kuongeza nguvu klabuni hapo na wamewapa miezi miwili kuwatizama na baadae kutangaza rasmi nafasi zao.
![]() |
Hao ndo wajumbe wapyaaa Naggi kulia, katikati mshauri pembeni kule mjumbe |
Je wewe hii umeielewaje??????????????????????????
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni