Alhamisi, 19 Septemba 2013

MMMH

 
Kwa mara ya kwanza hii leo nimeona kitovu cha mwanadada huyu Nuru Mohammed Almaaruf Nuru The Light.
Mara nyingi nimekuwa nikimuona katika mapozi ya mavazi mbalimbali hii haijawahi kutokea kuanika kitovu chake, ushauri wa bure my sisi never do this again.
Picha hii aliiweka leo kwenye ukurasa wake wa Face book huku akiandika maneno yafuatayo kwa msisitizo.
"KANGAMOKO LAKI SI PESA HAHAHAH,,KA-KANGA.COM!!!"
Nuru katika moja ya vituko vyake

But i do luv u girl   




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni