Jumatatu, 9 Septemba 2013

DUA ZENU WATANZANIA KWA KIGI MAKASI

Kiungo wa wekundu wa msimbazi Simba Kigi Makasi, anataraji kuondoka leo nchini kuelekea India kwa aajili ya matibabu.
Kigi ataondoka na ndege majira ya Saa 10:45 jioni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni