Shirikisho la mpira wa miguu la nchini humo
limewafungia waamuzi 6 kuchezesha mechi zozote katika kipindi cha miezi 6 baada
ya kubainika waliforj au walidanganya vyeti vyao vya elimu ikiwa ni vielelzo muhimu
kwa waamuzi kuwa navyo hususani vikiwa sahihi na siyo vya kutengeneza.
Hata hivyo bado shirikisho hilo halijatoa tamko
rasmi kwa wanahabari nchini humo kuhusiana na sakata hilo.
Waamuzi hao ni Uriah Glah (Accra), Daniel Dorgbertor
(Sunyani), Amofa Sarkodie (Obuasi) na Augustine Akugre (Bolga)
![]() |
Uriah Glah |
Six local referees have been suspended for six
months by the Ghana FA for providing fake BECE certificates.
The Basic Education Certificate Exams are the first
level of school leavers' documentation in Ghana's curricular ladder.
The nine are Uriah Glah (Accra), Daniel Dorgbertor
(Sunyani), Amofa Sarkodie (Obuasi) and Augustine Akugre (Bolga).
Others are Alex Akugre (Tamale), Osman Ouagragou
(Bolga), Samuel Kyeremeh Yeboah (Berekum) and Prince Tawiah, (Techiman),
together with Frederick Bediako (Accra).
They have been charged with impersonation and
providing fake documents.
Speaking to the media on Tuesday, retired referee
Alex Quartey hinted that the story was true, but said official word from the
Ghana FA is awaited.
Though the GFA and RAG have remained tight lipped,
Citi Sports checks show that the charges are the reason why the nine refs have
been omitted from the list of officials for this Ghana Premier League season.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni