Home For Everyone
ATAKAYE NA AJEEEEE
Facebook @Fatma Abdallah Chikawe Kichuna
Twitter @FatmaChikawe
Instagram @kichunafatma
Jumanne, 15 Oktoba 2013
YANGA KUKIPIGA DHIDI YA CHIPUKIZI KESHO
Yanga leo asbuhi kwenye uwanja wa Gombani
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Tanzania bara kesho itashuka dimbani kukipiga dhidi ya Timu ya chipukizi inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar.
Yanga kwasasa iko Pemba ambako itaweka kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo wao wa ligi kuu soka ya Tanzania bara dhidi ya mahasimu wao wekundu wa msimbazi Simba Octoba 20 mwaka huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni