Alhamisi, 24 Oktoba 2013

KHADIJA OMAR KOPA KURUDI JUKWAANI NOVEMBER 03 MWAKA HUU

Malkia wa mipasho Afrika mashariki na kati bibie Khadija Omar Kopa anataraji kupanda tena jukwaani kwa mara ya kwanza Novemba 3 mwaka huu baada ya kuwa mapumziko kwa zaidi ya miezi 3.
Ikumbukwe Khadija alikumbwa na msiba wa mumewe kipenzi Japhar Ally kitu kilomlazimu kuaa kando na sanaa mpaka pale atakapomaliza eda.
Tayari Bibie Khadija ameweka hadhari dhamira yake ya kurejea kwenye sanaa na kufanya makamuzi kama ilivyo kawaida yake.
Kwa pamoja tuna muombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu.
Marehemu Japhar Ally aliyekuwa mume halali wa Khadija Kopa
Siku ya harusi yao
wakati wa msiba wa mumewe
Wakati akiwa Eda alipata nafasi ya kutembelewa na malkia wa bongo fleva
Mwanamke kazini
Mama na majembe yake
Khadija akiwa ndani ya mkasi akibainisha namna gani alivyompenda mumewe
Burudaniiiiiiiiiiii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni