Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,na Rais
Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee Ruksa) wakigonganisha Glasi za
maji kama ishara ya kufungua Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa
wa Kaskazini,katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,akipokea
Mchango wa Millioni tatu fedha tasilim kutoka kwa Mkurugenzi wa ZSSF Abdulwakil
Haji Hafidh,wakati wa Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa Kaskazini
Unguja,hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff-Kama,Wilaya ya Kaskazini B,jana.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni