Jumatano, 9 Oktoba 2013

HONGERA BIBIE KHADIJA KWA KUPATA MUME

Harusi ilifungwa mwishoni mwa juma lililopita
TAZAMA MAANDALIZI YALIVYOKUWA
Mtu na Somo wake Bibie Zena Mohammed mamaa ya La uchungu halisahauliki
Somo anataka chake mlangoni hapana chezea
Bwana anampa mkono mkewe
Akimuombea dua mkewe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni