Jumamosi, 12 Oktoba 2013

TUKO TAYARI KUWAKABILI KAGERA SUKARI

Kocha wa makipa Razak Siwa akiwa na vijana wake Ally Mustapha Mtinge Barthez ndani
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Tanzania bara, leo asbuhi wamefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuwakabili wenyeji wao Kagera sukari alasiri ya leo katika mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara raundi ya nane.
TAZAMA KATIKA PICHA
Vijana wa Brands Yondani nae weka mpira hao
Zoezi likiendelea
Bwana mkubwa Chuji na kibandiko kichwani
Juma Abdul, Deogratius Munish, Nadir weeee
Niyonzima fiti kana kanaida
Waacheni watoto wa jangwani City
Kagera mpooooooooooooooooooooo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni