Jumatatu, 11 Novemba 2013

WATAKAOCHEZESHA KOMBE LA CHALENJI 2013

CECAFA
BARAZA LA VYAMA VYA SOKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
Limesajiliwa FIFA na CAF. Makao makuu: Uwanja wa Nyayo-Nairobi, Kenya
IDARA YA HABARI

Tarehe: Jumatatu Novemba 11, 2013

Marefa wa Kombe la CECAFA Challenge watajwa

Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) leo Jumatatu limetoa orodha ya marefa 18 watakasafiri kwenda Nairobikuchezesha mechi za mwaka huu ya Kombe la Challenge.

Orodha iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye ina marefa tisa (9) na marefa wasaidizi tisa (9). Marefa wote watafanyiwa vipimo na usaili watakapowasili Nairobi kabla ya kuanza kwa mashindano hayo Novemba 27.

Orodha ya marefa ni:
1.    Anthony Okwayo-Kenya
2.    Denis Batte-Uganda
3.    Wish Yabarow- Somalia
4.    Israel Mujuni- Tanzania
5.    Louis Hakizimana- Rwanda
6.    Thiery Nkurunziza- Burundi
7.    Waziri Sheha- Zanzibar
8.    Gebremichael Luleseged- Eritrea
9.    Kheirala Murtaz - Sudan
Marefa wasaidi ni;
1.    Gilbert Cheruiyot- Kenya
2.    Tonny Kidiya- Kenya
3.    Mark sonko- Uganda
4.    Fedinard Chacha- Tanzania
5.    Suleiman Bashir- Somalia
6.    Fraser Zakara-South Sudan
7.    Simba Honore-Rwanda
8.    Hamid Idam- Sudan
9.    Kinfe Yimla-Ethiopia
Regards

ROGERS MULINDWA
MENEJA HABARI CECAFA

Vyama wanachama: Burundi, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Sudan, Somalia, South Sudan, Tanzania, Uganda na Zanzibar

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni