Home For Everyone
ATAKAYE NA AJEEEEE
Facebook @Fatma Abdallah Chikawe Kichuna
Twitter @FatmaChikawe
Instagram @kichunafatma
Jumamosi, 2 Novemba 2013
HONGERA KAKA KWA KUPATA JEMBE LINGINE
Muke na Mume
Mpiganaji, mwanahabari na kipenzi cha watu Mahmoud Zubeiry maarufu Bin Zubeiry pamoja na Mkewe Dina Ismail dada yangu mwenyewe wamebahatika kupata mtoto mwingine wa kiume wenyewe wamempa jina tukufu la Nabii Yusuph....Inshaallah Mola awakuzie.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni