HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA KWENYE UKURASA WAKE KATIKA MTANDAO MMOJA WA KIJAMII.......
Sina dhumuni baya....hv inakuaje
umepost kitu alafu mtu akacomment ukashindwa hata kumwambia asante???? Sio
ustarab nasema hv kama mtu unaniona star me nasema hakuna star zaidi ya mungu
hebu ina hili mangapi mungu unamuomba an anajibu maombi yako.....??? Sembuse ww
hata thanks inakushinda.....wabongo wanajua kumpenda mtu na wanajua pia
kumchukia mtuuu......nimetoa ya moyoni ukihisi limekugusa niblock tuuu.......
kichunafatma,
arifsaylim,
hlecious
and 299 others like this.
eshasbuheti
Waambie mamy me nachokaa @fatmaseif11
eshasbuheti
Hahahha uwiiii nafrah mm lv @auma_bebe
zeintawfq
Ni kwel kuna wengne wanahc they r mo than god lakn hawajui kesho itakuaje @eshasbuheti
eshasbuheti
Sawa an thanks @adam
tibaigana
eshasbuheti
Mamy kitaeleweka tuu @mamychura
eshasbuheti
Gwitaba kale icecream za azam bill nipe miee @gwitaba
rahmakalim
Karibu mamii!!@eshasbuheti
saudalittah
Yaaani wewe dada ni mkali hatari hasa now am done!!!! Kwenye budluck
minalkher_
Penda ww
reyjarufu
hahahahahaha bora useme weweeee my dear @eshasbuheti
eshasbuheti
Sante my lv @saudalittah
eshasbuheti
Lv u more @minalkher_
nuurat3
Mashaallah mungu akupe moyo huohuo wauthamini na upendo inshaallah love yuu mumy
eshasbuheti
Yani kero tupu mamy miss u @reyjarufu
eshasbuheti
Amiiiin my nurar @nuurat3
nuurat3
Ameen....dear @.eshasbuhet
anithalv
Ha ha haaaa wape hao mastaa uchwaraaaa
eshasbuheti
Hahaha done mamy @anithalv
michellekiongozi
Kweli unayosema dada eshasbuheti
eshasbuheti
Msg send mamy @michellekiongozi
![]() |
Eshe mama wa mtoto mmoja akiwa na number one wake |
![]() |
Mashaallah mama na mwana |
![]() |
Eshe na Wema Sepetu |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni