Alhamisi, 14 Novemba 2013

IVO MAPUNDA NJE TUZO ZA KPL

Baada ya kumalizika kwa ligi kuu soka ya nchini Kenya hii leo kamati ya ligi nchini humo imetoa orodha ya wanaowania zawadi mbalimbali za msimu huu wa ligi huku mlinda mlango wa Gor Mahia kutoka nyumbani Tanzania Ivo Mapunda akitupwa nje ya kinyang’anyiro hicho.

HII NDO ORODHA KAMILI

 KIPA BORA

Wycliffe Kasaya – Sony Sugar
Sammy Okinda – KCB
Jerim Onyango – Gor Mahia
Wilson Obungu – Bandari
Duncan Ochieng – Sofapaka

BEKI BORA

Felly Mulumba – Sofapaka
Mohammed Sharif – Bandari
John Odhiambo – KCB
David Mwangi – Mathare United
David Owino – Gor Mahia


MCHEZAJI MWENYE NIDHAMU

Denis Onkangi – Western Stima
James Situma – Sofapaka
Oliver Ruto – Ulinzi Stars
 Shaaban Kenga – Bandari
Sammy Okinda – KCB
KOCHA BORA WA MWAKA
David Ouma – Sofapaka
John Kamau – Thika United
Twahir Muhidin – Bandari
Abdallah Juma – KCB
Robert Matano – Tusker FC

TIMU YENYE NIDHAMU

KCB
Sofapaka
Homeboys
Western Stima
Muhoroni Youth

KIUNGO BORA

Brian Osumba – KCB
Shaaban Kenga – Bandari
Paul Were – AFC Leopards
Francis Kahata – Thika United
Peter Opiyo – AFC Leopards

MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI

Patila Omoto – AFC Leopards
Moses Mudavedi – Homeboyz
Steven Wakanya – Chemelil
Sammy Meja – Thika United
Michael Olunga – Tusker FC

MCHEZAJI BORA

Allan Wanga – AFC Leopards
Dan Serunkuma – Gor Mahia
Jacob Keli – KCB
Shaaban Kenga – Bandari
David Owino – Gor Mahia

MENEJA BORA WA TIMU WA MWAKA

Dan Omondi – Karuturi Sport
Josphat Okali – KCB
Alfred Achayo – Bandari
Tom Ochong – Chemelil
Moses Nyalik – Western Stima

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni