Jumatatu, 24 Machi 2014

SCHALKE STAR KEVIN-PRINCE BOATENG WILL BE WITHOUT PREGNANT FIANCEE SUPPORT IN BIG CLASH AGAINST DORTMUND



Kiungo wa Ghana Kevin-Prince Boateng ataikosa hamasa ya mchumba wake mwanamitindo Melissa Satta wakati timu yake ya Schalke 04 ikicheza dhidi ya Borussia Dortmund hapo kesho.
Mwanamitindo huyo kutoka nchini Italia anataraji kujifungua ndani ya ndani ya wiki tatu hivyo ameshauriwa kutumia muda miwngi kupumzika na si kujichanganya kwenye mkusanyiko wa watu wengi.
 
Boateng amezoea kumuona mchumba wake akimshangilia uwanjani lakini safari hii atalazimika kuikosa hali hiyo ila kunusuru mtoto wake azaliwe salama na akiwa mwenye afya njema.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni